Home Real Estate Show ya Diamond Aruka Sarakasi Jukwaani Burnaboy, Davido na Wizkid Jukwaa moja Afronation Portugal

49 COMMENTS

  1. Huko portugal ulaya ureno show hizo za wasaniii wa africa kuna kuwa na wazungu mataifa tofauti show hizo ndio vannesa mdeee alimpata rotimiiiiiii mme wale baba wa mtoto wako Diamondplatnumz nayeye sijui ataokota dodo na yeye mzungu aoe maana wakina tanashadona zari na misa wanamzingua Tuu Ila ni platiform nzuri inambeba kutambulika wakiwemo wakina Burnaboy na Chris brown wanaojulikana zaidi kimataifa inasaidia show kujaza mataifa mbalimbali yeye inambeba sana wasaniii wa east

Leave a Reply to zaitune adremane adremane Cancel reply

Please enter your comment!
Please enter your name here